Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 10:17 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

17 Hatta Petro alipokuwa akiona mashaka ndani ya nafsi yake, maana yake nini maono hayo aliyoyaona, wale watu waliotumwa na Kornelio, wakiislia kuiulizia nyumba ya Simon, wakasimama mbele ya mlango,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

17 Petro alipokuwa bado anashangaa juu ya maana ya hayo maono aliyokuwa ameyaona, wale watu waliotumwa na Kornelio, baada ya kuigundua nyumba ya Simoni, walifika mlangoni,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

17 Petro alipokuwa bado anashangaa juu ya maana ya hayo maono aliyokuwa ameyaona, wale watu waliotumwa na Kornelio, baada ya kuigundua nyumba ya Simoni, walifika mlangoni,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

17 Petro alipokuwa bado anashangaa juu ya maana ya hayo maono aliyokuwa ameyaona, wale watu waliotumwa na Kornelio, baada ya kuigundua nyumba ya Simoni, walifika mlangoni,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

17 Petro alipokuwa akisumbuka kuhusu maana ya maono hayo, wale watu waliotumwa na Kornelio waliipata nyumba ya Simoni, wakasimama kwenye lango.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

17 Wakati Petro akiwa bado anajiuliza kuhusu maana ya maono haya, wale watu waliokuwa wametumwa na Kornelio wakaipata nyumba ya Simoni mtengenezaji wa ngozi wakawa wamesimama mbele ya lango.

Tazama sura Nakili




Matendo 10:17
9 Marejeleo ya Msalaba  

Bassi alipokwisha kuwatawadha miguu, na kuyatwaa mavazi yake, na kuketi tena, akawaambia, Mmeelewa niliyowatendea.


Akaona katika njozi wazi wazi, panapo saa tissa ya mchana, malaika wa Mungu akimjia na kumwambia, Kornelio!


Wakashangaa wote wakaingiwa na mashaka, wakaambiana, Maana yake nini mambo haya?


Nami nikaona mashaka jinsi ya kutafuta hakika ya khabari hii, nikamwuliza kama anataka kwenda Yerusalemi ahukumiwe huko katika mambo haya.


Kuhani mkuu na jemadari wa hekalu na makuhani wakuu waliposikia haya, wakaingiwa na mashaka kwa ajili yao, yatakuwaje mambo hayo.


Bassi palikuwapo mwanafunzi Dameski, jina lake Anania. Bwana akamwambia katika njozi, Anania. Akasema, Mimi hapa, Bwana.


Hatta Petro akakaa siku kadha wa kadha huko Yoppa, nyumbani mwa mtu mmoja, jina lake Simon, mtengenezaji wa ngozi.


wakitafuta ni wakati upi, na wakati wa namna gani ulioonywa na Roho ya Kristo iliyokuwa ndaui yao, aliyetangulia kuyashuhudia mateso yatakayompata Kristo, na utukufu utakaokuwa baada ya hayo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo