Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 10:16 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

16 Jambo hili likatendeka marra tatu: kiisha kile chombo kikapokewa tena mbinguni.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

16 Jambo hili lilifanyika mara tatu, kisha ile shuka ikarudishwa juu mbinguni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

16 Jambo hili lilifanyika mara tatu, kisha ile shuka ikarudishwa juu mbinguni.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

16 Jambo hili lilifanyika mara tatu, kisha ile shuka ikarudishwa juu mbinguni.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

16 Jambo hili lilitokea mara tatu, na ghafula kile kitambaa kikarudishwa mbinguni.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

16 Jambo hili lilitokea mara tatu na ghafula ile nguo ikarudishwa mbinguni.

Tazama sura Nakili




Matendo 10:16
6 Marejeleo ya Msalaba  

Akamwambia marra ya tatu, Simon wa Yohana, Wanipenda mimi? Petro akahuzunika kwa kuwa alimwambia marra ya tatu, Wanipenda mimi? Akamwambia, Bwana, wewe unajua yote; unajua ya kuwa nakupenda. Yesu amwambia, Lisha kondoo zangu.


Sauti ikamjia marra ya pili, Kilichotakaswa na Mungu, usikiite najis.


Hatta Petro alipokuwa akiona mashaka ndani ya nafsi yake, maana yake nini maono hayo aliyoyaona, wale watu waliotumwa na Kornelio, wakiislia kuiulizia nyumba ya Simon, wakasimama mbele ya mlango,


HII ndio marra ya tatu ya mimi kuja kwenu. Kwa vinywa vya mashahidi wawili au watatu killa neno litathubutishwa.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo