Matendo 10:13 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192113 Sauti ikamjia, Ondoka, Petro, ukachinje ule. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema13 Akasikia sauti ikimwambia: “Petro, amka uchinje, ule!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND13 Akasikia sauti ikimwambia: “Petro, amka uchinje, ule!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza13 Akasikia sauti ikimwambia: “Petro, amka uchinje, ule!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu13 Ndipo sauti ikamwambia “Petro, ondoka, uchinje na ule.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu13 Ndipo sauti ikamwambia “Petro, ondoka, uchinje na ule.” Tazama sura |