Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 10:12 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

12 Ndani yake aina zote za nyama zenye miguu mine, na nyama za mwituni, nazo zitambaazo, na ndege za anga.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Ndani ya shuka hiyo kulikuwa na kila aina ya wanyama: Wanyama wenye miguu minne, wanyama watambaao na ndege wa angani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Ndani ya shuka hiyo kulikuwa na kila aina ya wanyama: Wanyama wenye miguu minne, wanyama watambaao na ndege wa angani.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Ndani ya shuka hiyo kulikuwa na kila aina ya wanyama: wanyama wenye miguu minne, wanyama watambaao na ndege wa angani.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Ndani yake walikuwepo aina zote za wanyama wenye miguu minne, nao watambaao nchini, na ndege wa angani.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Ndani yake walikuwepo aina zote za wanyama wenye miguu minne, nao watambaao nchini, na ndege wa angani.

Tazama sura Nakili




Matendo 10:12
10 Marejeleo ya Msalaba  

Hatta siku ya mwisho, siku ile kubwa ya siku kuu, Yesu akasimama, akapaaza sauti yake, akinena, Mtu akiona kiu, na aje kwangu anywe.


na chombo kikimshukia kama nguo kubwa, kinatelemshwa kwa pembe zake nne hatta inchi.


Sauti ikamjia, Ondoka, Petro, ukachinje ule.


Nikaitazama sana, nikifikiri, nikaona nyama za inchi zenye miguu mine, Ua nyama za mwituni, nazo zitambaazo, na ndege za anga.


wakaubadili utukufu wa Mungu asiye ua uharibifu kwa mfano wa sura ya bin-Adamu aliye ua uharibifu, na ya nyama wenye mbawa, na ya nyama wenye miguu mine, na ya nyama watambaao.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo