Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 10:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

10 akaingiwa na njaa nyingi, akataka kula: lakini walipokuwa wakiandaa, roho yake ikazimia, akaona mbingu zimefunuka,

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Aliona njaa, akatamani kupata chakula. Chakula kilipokuwa kinatayarishwa, akaota ndoto.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Aliona njaa, akatamani kupata chakula. Chakula kilipokuwa kinatayarishwa, akaota ndoto.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Aliona njaa, akatamani kupata chakula. Chakula kilipokuwa kinatayarishwa, akaota ndoto.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Alipokuwa akiomba akahisi njaa, akatamani kupata chakula. Lakini wakati walikuwa wakiandaa chakula, akalala usingizi mzito sana.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Alipokuwa akiomba akahisi njaa, akatamani kupata chakula. Lakini wakati walikuwa wakiandaa chakula, akalala usingizi mzito sana.

Tazama sura Nakili

Matendo 10:10
13 Marejeleo ya Msalaba  

Hatta assubuhi alipokuwa akirudi mjini, akashikwa na njaa.

Akafunga siku arubaini mchana na usiku, baadae akaona njaa.

Nalikuwa katika mji wa Yoppa, nikiomba, roho yangu ikazimia, nikaona maono; chombo kama nguo kubwa kikishuka, kinashushwa kutoka mbinguni kwa pembe zake nne, kikanifikilia.

Ikawa nilipokwisha kurudi Yerusalemi, nilipokuwa nikisali ndani ya hekalu, nikawa katika hali ya rohoni,

Nalikuwa katika Roho, siku ya Bwana; nikasikia sauti kuu nyuma yangu, kama sauti ya baragumu,

Tufuate:

Matangazo

Matangazo