Matendo 1:26 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192126 Wakawapigia kura: kura ikamtoa Mattiya; akachaguliwa kuwa pamoja na mitume edashara. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Wakapiga kura; kura ikampata Mathia, naye akaongezwa katika idadi ya wale mitume wengine kumi na mmoja. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Wakapiga kura; kura ikampata Mathia, naye akaongezwa katika idadi ya wale mitume wengine kumi na mmoja. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Wakapiga kura; kura ikampata Mathia, naye akaongezwa katika idadi ya wale mitume wengine kumi na mmoja. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Kisha wakawapigia kura, nayo kura ikamwangukia Mathiya, naye akaongezwa kwenye wale mitume kumi na mmoja. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Kisha wakawapigia kura, nayo kura ikamwangukia Mathiya, naye akaongezwa kwenye wale mitume kumi na mmoja. Tazama sura |