Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 1:21 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

21 Bassi katika watu waliofuatana nasi wakati wote ambapo Bwana Yesu alikuwa akiingia kwetu na kutoka kwetu,

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

21 Basi, mtu mmoja miongoni mwa wale walioandamana nasi muda wote Bwana Yesu alipokuwa anasafiri pamoja nasi achaguliwe kujiunga nasi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

21 Basi, mtu mmoja miongoni mwa wale walioandamana nasi muda wote Bwana Yesu alipokuwa anasafiri pamoja nasi achaguliwe kujiunga nasi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

21 Basi, mtu mmoja miongoni mwa wale walioandamana nasi muda wote Bwana Yesu alipokuwa anasafiri pamoja nasi achaguliwe kujiunga nasi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

21 Kwa hiyo inatubidi tumchague mtu mwingine miongoni mwa wale ambao wamekuwa pamoja nasi wakati wote Bwana Isa alipokuwa akiishi kati yetu,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

21 Kwa hiyo inatubidi tumchague mtu mwingine miongoni mwa wale ambao wamekuwa pamoja nasi wakati wote Bwana Isa alipoingia na kutoka katikati yenu,

Tazama sura Nakili

Matendo 1:21
9 Marejeleo ya Msalaba  

kama walivyotuhadithia wale waliokuwa mashahidi, ua watumishi wa lile neno tokea mwanzo,

Wakaingia, wasiuone mwili wa Bwana Yesu.

Na ninyi pia mnashunudu, kwa kuwa tangu mwanzo mmekuwa pamoja nami.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo