Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Matendo 1:19 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

19 Ikajulikana na watu wote wakaao Yerusalemi; hatta konde lile likaitwa kwa lugha yao Akeldama, maana yake, konde la damu.)

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 Kila mtu katika Yerusalemu alisikia habari za tukio hilo na hivyo, kwa lugha yao, wakaliita lile shamba “Akel Dama,” maana yake, “Shamba la Damu.”)

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 Kila mtu katika Yerusalemu alisikia habari za tukio hilo na hivyo, kwa lugha yao, wakaliita lile shamba “Akel Dama,” maana yake, “Shamba la Damu.”)

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 Kila mtu katika Yerusalemu alisikia habari za tukio hilo na hivyo, kwa lugha yao, wakaliita lile shamba “Akel Dama,” maana yake, “Shamba la Damu.”)

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 Kila mtu Yerusalemu akasikia habari hizi, kwa hiyo wakapaita mahali hapo kwa lugha yao, Akeldama, yaani Shamba la Damu.)

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 Kila mtu Yerusalemu akasikia habari hizi, kwa hiyo wakapaita mahali hapo kwa lugha yao, Akeldama, yaani Shamba la Damu).

Tazama sura Nakili

Matendo 1:19
6 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa hiyo konde lile linakwitwa konde la damu, hatta leo.

Bassi wakazitwaa zile fedha, wakafanya kama walivyofundishwa. Na neno lile likaenea katika Wayahudi hatta leo.

Enyi waume wa Israeli, sikieni maneno haya: Yesu wa Nazareti, mtu aliyedhihirishwa kwenu na Mungu kwa miujiza na ajabu na ishara, ambazo Mungu alizifanya kwa mkono wake kati yenu, kama ninyi wenyewe mnavyojua;

Bassi, alipompa rukhusa, Paolo akasimama madarajani, akawapunjia mkono wale wenyeji; na ilipokuwa kimya kabisa, akanena nao kwa lugha ya Kiebrania, akisema,

Tufuate:

Matangazo

Matangazo