Matendo 1:14 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192114 Hawa wote walikuwa wakidumu kwa moyo mmoja katika kuomba, pamoja nao wanawake, na Mariamu mama wake Yesu, na ndugu zake. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Hawa wote walikusanyika pamoja kusali, pamoja na wanawake kadha wa kadha, na Maria mama yake Yesu, na ndugu zake. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Hawa wote walikusanyika pamoja kusali, pamoja na wanawake kadha wa kadha, na Maria mama yake Yesu, na ndugu zake. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Hawa wote walikusanyika pamoja kusali, pamoja na wanawake kadha wa kadha, na Maria mama yake Yesu, na ndugu zake. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Hawa wote waliungana pamoja katika maombi. Pia walikuwepo wanawake kadhaa, na Mariamu mama yake Isa, na ndugu zake Isa. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Hawa wote waliungana pamoja katika maombi. Pamoja nao walikuwepo wanawake kadha, na Mariamu mama yake Isa, pamoja na ndugu zake Isa. Tazama sura |