Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Matendo 1:1 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

1 KITABU kile cha kwanza nalikifanya, Theofilo, katika khabari ya mambo yote aliyoanza kufanya Yesu na kufundisha,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Ndugu Theofilo, Katika kitabu cha kwanza niliandika juu ya mambo yote Yesu aliyotenda na kufundisha tangu mwanzo wa kazi yake

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Ndugu Theofilo, Katika kitabu cha kwanza niliandika juu ya mambo yote Yesu aliyotenda na kufundisha tangu mwanzo wa kazi yake

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Ndugu Theofilo, Katika kitabu cha kwanza niliandika juu ya mambo yote Yesu aliyotenda na kufundisha tangu mwanzo wa kazi yake

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Katika kitabu changu cha kwanza nilikuandikia, Theofilo, kuhusu mambo yote Isa aliyoyafanya na kufundisha tangu mwanzo,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Katika kitabu changu cha kwanza nilikuandikia, mpendwa Theofilo, kuhusu mambo yote Isa aliyofanya na kufundisha tangu mwanzo,

Tazama sura Nakili




Matendo 1:1
12 Marejeleo ya Msalaba  

vipofu wanapata kuona, viwete wanatembea, wenye ukoma wanatakasika, viziwi wanasikia, wafu wanafufuliwa, na maskini wanakhubiriwa khabari njema.


Hatta baada ya siku zile mkewe Elizabeti akachukua mimba akajificha miezi mitano, akisema,


nimeona vema na mimi, nikiisha kujipatia khabari zilizo sahihi za mambo yote tokea awali, kukuandikia kwa taratibu. Theofilo il-aziz:


Yule mtumishi akasema, Yamekwisha kutendeka hayo uliyoniagiza na ingaliko nafasi.


Akawaambia, Mambo gani? Wakamwambia, Mambo ya Yesu Mnazareti, aliyekuwa mtu nabii mwenye nguvu kwa tendo na kwa neno mbele za Mungu na watu wote;


Nae Yesu mwenyewe alipokuwa akianza kufundisha, umri wake amekuwa miaka thelathini, akidhaniwa kuwa mwana wa Yusuf, wa Eli,


Enyi waume wa Israeli, sikieni maneno haya: Yesu wa Nazareti, mtu aliyedhihirishwa kwenu na Mungu kwa miujiza na ajabu na ishara, ambazo Mungu alizifanya kwa mkono wake kati yenu, kama ninyi wenyewe mnavyojua;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo