Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 9:5 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

5 Petro akajibu, akamwambia Yesu, Rabbi, ni vizuri sisi kuwapo hapa: na tufanye vibanda vitatu, kimoja chako wewe, kimoja cha Musa, na kimoja eha Eliya.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Petro akamwambia Yesu, “Mwalimu, ni vizuri sisi kuwapo hapa. Basi, afadhali tujenge vibanda vitatu: Kimoja chako, kimoja cha Mose na kimoja cha Elia.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Petro akamwambia Yesu, “Mwalimu, ni vizuri sisi kuwapo hapa. Basi, afadhali tujenge vibanda vitatu: Kimoja chako, kimoja cha Mose na kimoja cha Elia.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Petro akamwambia Yesu, “Mwalimu, ni vizuri sisi kuwapo hapa. Basi, afadhali tujenge vibanda vitatu: kimoja chako, kimoja cha Mose na kimoja cha Elia.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Petro akamwambia Isa, “Mwalimu, ni vyema sisi tukae hapa. Turuhusu tujenge vibanda vitatu: kimoja chako, kingine cha Musa na kingine cha Ilya.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Petro akamwambia Isa, “Mwalimu, ni vyema sisi tukae hapa. Turuhusu tujenge vibanda vitatu: kimoja chako, kingine cha Musa na kingine cha Ilya.”

Tazama sura Nakili




Marko 9:5
15 Marejeleo ya Msalaba  

Petro akajibu akamwambia Yesu, Bwana, ni vizuri sisi kuwapo hapa; ukitaka tutafanya hapa vibanda vitatu, kimoja chako wewe, na kimoja cha Musa, na kimoja cha Eliya.


na kusalimiwa sokoni, na kuitwa na watu, Rabbi, Rabbi.


Bali ninyi nisiitwe Rabbi; maana mwalimu wenu yu mmoja ndiye Kristo, na ninyi nyote ni ndugu.


Wakatokewa na Eliya pamoja na Musa, nao walikuwa wakisemezana na Yesu.


Maana yake hakujua la kunena, kwa kuwa waliingiwa na khofu nyingi.


Ikawa hawo walipokuwa wakijitenga nae, Petro akamwambia Yesu, Bwana, ni vizuri sisi kuwapo hapa: na tufanye vibanda vitatu, kimoja chako wewe, kimoja cha Musa, kimoja cha Eliya: nae hajui asemalo.


Huko nyuma wanafunzi wakamsihi wakisema, Rabbi, ule.


Ninasongwa kati kati ya mambo mawili; ninatamani kwenda zangu nikae na Kristo; maana ni vizuri zaidi;


Wapenzi, sasa tu wana wti Mungu, wala haijadhihirika bado tutakidokuwa: lakini twajua ya kuwa akidhihiri, tutafanana nae; kwa maana tutamwona kama alivyo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo