Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 9:42 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

42 Na ye yote atakaemkosesha mmoja katika wadogo hawa waniaminio, afadhali afungiwe jiwe la kusagia shingoni mwake, na kutupwa baharini.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

42 “Yeyote atakayemkosesha mmoja wa hawa wadogo wanaoniamini, ingekuwa afadhali kwa mtu huyo kufungiwa shingoni mwake jiwe kubwa la kusagia na kutupwa baharini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

42 “Yeyote atakayemkosesha mmoja wa hawa wadogo wanaoniamini, ingekuwa afadhali kwa mtu huyo kufungiwa shingoni mwake jiwe kubwa la kusagia na kutupwa baharini.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

42 “Yeyote atakayemkosesha mmoja wa hawa wadogo wanaoniamini, ingekuwa afadhali kwa mtu huyo kufungiwa shingoni mwake jiwe kubwa la kusagia na kutupwa baharini.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

42 “Mtu yeyote akimsababisha mmoja wa hawa wadogo wanaoniamini kutenda dhambi, ingekuwa bora kwake afungiwe jiwe kubwa la kusagia shingoni mwake, na kutoswa baharini.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

42 “Kama mtu yeyote akimsababisha mmojawapo wa wadogo hawa wanaoniamini kutenda dhambi, ingekuwa bora kwake afungiwe jiwe kubwa la kusagia shingoni mwake, na kutoswa baharini.

Tazama sura Nakili




Marko 9:42
19 Marejeleo ya Msalaba  

Lakini tusije tukawachukiza, enenda baharini ukatumbukize ndoana, ukatwae samaki yule azukae kwanza; na ukifunua mdomo wake utaona shekeli; ichukue hiyo ukawape kwa ajili yangu na kwa ajili yako.


Angalieni msidharau mmoja wa wadogo hawa; kwa maana nawaambieni ya kwamba malaika zao mbinguni siku zote wanamtazama uso wa Baba yangu aliye mbinguni.


bali atakaekosesha mmoja wa wadogo hawa waniaminio, yamfaa afungwe jiwe kubwa la kusagia shingoni mwake, na kutoswa katika kilindi cha bahari.


Akaanguka chini, akasikia sauti ikimwambia, Saul, Saul, mbona wanifukuza?


Bassi tusizidi kuhukumiana, bali afadhali mtoe hukumu hii, ndugu asitiwe kitu cha kumkwaza au cha kumwangusha.


bali kama ilivyoandikwa, Wale wasiokhubiriwa khahari zake wafaona, Na wale wasiosikia watafahamu.


Nawasihini, ndugu, waangalieni wale wafanyao fitina na mambo ya kukwaza kinyume cha mafundisho mliyojifunza; mkajiepushe nao.


Tusiwe kwao la namna yo yote katika jambo lo lote, khuduma yetu isilaumiwe;


mpate kuyakubali yaliyo mema; illi mwe na mioyo safi, bila kosa, mpaka siku ya Kristo,


Bassi napenda wajane wasio wazee waolewe, wazae watoto, watawale mambo ya nyumbani, wasimpe adui nafasi ya kulaumu;


Na wengi watafuata jeuri zao; kwa hawo njia ya kweli itanenwa unajisi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo