Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 9:4 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

4 Wakatokewa na Eliya pamoja na Musa, nao walikuwa wakisemezana na Yesu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

4 Elia na Mose wakawatokea, wakazungumza na Yesu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

4 Elia na Mose wakawatokea, wakazungumza na Yesu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

4 Elia na Mose wakawatokea, wakazungumza na Yesu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

4 Musa na Ilya wakawatokea, wakawa wanazungumza na Isa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

4 Musa na Ilya wakawatokea, wakawa wanazungumza na Isa.

Tazama sura Nakili




Marko 9:4
15 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa maana manabii wote na torati walitabiri mpaka wakati wa Yohana.


akageuka sura yake mbele yao: mavazi yake yakawa yakimetameta, meupe kwa mfano wa thuluji, jinsi asivyoweza fundi duniani kuyafanya meupe.


Petro akajibu, akamwambia Yesu, Rabbi, ni vizuri sisi kuwapo hapa: na tufanye vibanda vitatu, kimoja chako wewe, kimoja cha Musa, na kimoja eha Eliya.


Akaanza toka Musa na manabii, akawafasiria katika maandiko yote mambo yaliyomkhusu yeye.


Akawaambia, Haya ndiyo maneno yangu niliyowaambieni, nilipokuwa kwenu, ya kuwa hayana buddi kutimizwa yote niliyoandikiwa katika torati ya Musa, na katika manabii, na katika zaburi.


Wakajibu, wakasema, Yohana Mbatizaji: na wengine, Eliya: na wengine kwamba nabii mmoja katika wale wa kale amefufuka.


Mwayachunguza maandiko, kwa sababu mnadhani kwamba ninyi mna uzima wa milele ndani yake: na hayo ndiyo yanayonishuhudia:


Nikaanguka mbele ya miguu yake, nimsujudie, akaniambia, Angalia, usifanye hivi: mimi mjoli wako na mmoja wa ndugu zako walio na ushuhuda wa Yesu. Msujudu Mungu: kwa maana ushuhuda wa Yesu ni roho ya unabii.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo