Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 9:39 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

39 Yesu akasema, Msimkataze, kwa kuwa hakuna mtu atakaefanya mwujiza kwa jina langu akaweza wakati huo huo kuninena mabaya;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

39 Lakini Yesu akasema, “Msimkataze, maana hakuna mtu anayefanya mwujiza kwa jina langu, na papo hapo akaweza kusema mabaya juu yangu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

39 Lakini Yesu akasema, “Msimkataze, maana hakuna mtu anayefanya mwujiza kwa jina langu, na papo hapo akaweza kusema mabaya juu yangu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

39 Lakini Yesu akasema, “Msimkataze, maana hakuna mtu anayefanya mwujiza kwa jina langu, na papo hapo akaweza kusema mabaya juu yangu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

39 Isa akasema, “Msimkataze, kwa kuwa hakuna yeyote atendaye miujiza kwa Jina langu ambaye baada ya kitambo kidogo aweza kunena lolote baya dhidi yangu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

39 Isa akasema, “Msimkataze, kwa kuwa hakuna yeyote atendaye miujiza kwa Jina langu ambaye baada ya kitambo kidogo aweza kunena lolote baya dhidi yangu.

Tazama sura Nakili

Marko 9:39
11 Marejeleo ya Msalaba  

Yohana akamjibu, akamwambia, Mwalimu, tulimwona mtu akifukuza pepo kwa jina lako, nae hatufuati sisi: tukamkataza, kwa sababu hatufuati sisi.

kwa sababu asiye kiuyume chetu, ni upande wetu.

Kwa hiyo nawaarifu, ya kwamba hapana mtu asemae katika Roho ya Mungu, anenae, Yesu ni anathema; wala hawezi mtu kusema, Yesu ni Bwana, isipokuwa katika Roho Mtakatifu.

bali nautesa mwili wangu na kuutumikisha; isiwe, nikiisha kuwakhubiri wengine, mwenyewe niwe mtu wa kukataliwa.

Yadhuru nini? bali kwa njia zote, ikiwa ni kwa hila, au ikiwa ni kwa kweli, Kristo anakhubiriwa; na kwa hiyo nafurahi, naam, nami nitafurahi.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo