Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 9:28 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

28 Hatta alipoingia nyumbani, wanafunzi wake wakamwuliza kwa faragha, Mbona sisi hatukuweza kumfukuza?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

28 Basi, Yesu alipoingia nyumbani, wanafunzi wake walimwuliza kwa faragha, “Kwa nini sisi hatukuweza kumtoa?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

28 Basi, Yesu alipoingia nyumbani, wanafunzi wake walimwuliza kwa faragha, “Kwa nini sisi hatukuweza kumtoa?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

28 Basi, Yesu alipoingia nyumbani, wanafunzi wake walimwuliza kwa faragha, “Kwa nini sisi hatukuweza kumtoa?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

28 Baada ya Isa kuingia ndani ya nyumba, wanafunzi wake wakamuuliza wakiwa peke yao, “Mbona sisi hatukuweza kumtoa huyo pepo mchafu?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

28 Baada ya Isa kuingia ndani ya nyumba, wanafunzi wake wakamuuliza wakiwa peke yao, “Mbona sisi hatukuweza kumtoa huyo pepo mchafu?”

Tazama sura Nakili

Marko 9:28
11 Marejeleo ya Msalaba  

Wakaja wanafunzi, wakamwambia, Kwa nini wasema nao kwa mifano?

Kisha Yesu akawaacha makutano, akaingia nyumbani: wanafunzi wake wakamwendea, wakinena, Tufafanulie mfano wa magugu ya konde.

Petro akajibu, akamwambia, Tueleze mfano huo. Yesu akasema,

AKAINGIA Kapernaum tena, baada ya siku kadha wa kadha, ikasikiwa ya kwamba yumo nyumbani.

Kiisha wakaingia nyumbani; makutano wakakusanyika tena, wao wenyewe wasiweze kula hatta mkate.

Alipokuwa peke yake, watu waliomzunguka, na wale thenashara wakamwuliza khabari za ule mfano.

wala pasipo mfano hakusema nao: akawaeleza wanafunzi wake mambo yote kwa faragha.

Hatta alipoingia nyumbani, amewaacha makutano, wanafunzi wake wakamwuliza khabari za ule mfano.

Lakini Yesu akamshika mkouo akamwinua; nae akasimama.

Akawaambia, Namna hii haiwezi kutoka kwa neno lo lote, isipokuwa kwa kusali na kufunga.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo