Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 9:27 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

27 Lakini Yesu akamshika mkouo akamwinua; nae akasimama.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

27 Lakini Yesu akamshika mkono, akamwinua, naye akasimama.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

27 Lakini Yesu akamshika mkono, akamwinua, naye akasimama.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

27 Lakini Yesu akamshika mkono, akamwinua, naye akasimama.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

27 Lakini Isa akamshika mkono, akamwinua, naye akasimama.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

27 Lakini Isa akamshika mkono, akamwinua, naye akasimama.

Tazama sura Nakili




Marko 9:27
11 Marejeleo ya Msalaba  

Hatta makutano walipoondoshwa, akaingia, akamshika mkono wake; yule kijana akasimama.


marra wakamwambia khahari zake: akamkaribia, akamwinua kwa kumshika mkono, homa ikamwacha, akawakhudumia.


Yesu akamhurumia, akanyosha mkono wake, akamgusa, akamwambia, Nataka, takasika.


Akamshika mkono yule kijana, akamwambla, Talitha, kumi: tafsiri yake, Kijana, nakuambia, Ondoka.


Akamshika mkono vule kipofu, akamchukua nje ya kijiji, akamtemea mate ya macho, akaweka mikono yake juu yake, akamwuliza, Waona kitu?


Akalia, akamrarua sana, akamtoka: akawa kama amekufa: hatta wengi wakasema, Amekufa.


Hatta alipoingia nyumbani, wanafunzi wake wakamwuliza kwa faragha, Mbona sisi hatukuweza kumfukuza?


Yule jemadari akamshika mkono akaenda nae kando, akamwuliza kwa faragha, Una neno gani utakalo kuniarifu?


Akamshika mkono wa kuume, akamwinua, marra nyayo zake na vifundo vya miguu yake vikapata nguvu.


Akampa mkono, akamwinua; hatta akiisha kuwaita wale watakatifu na wajane akamweka mbele yao, yu hayi.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo