Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 9:15 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

15 marra makutano yote wakimwona wakashangaa wakamwendea mbio, wakamsalimu.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

15 Mara tu ule umati wa watu ulipomwona, wote walishangaa sana, wakamkimbilia wamsalimu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

15 Mara tu ule umati wa watu ulipomwona, wote walishangaa sana, wakamkimbilia wamsalimu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

15 Mara tu ule umati wa watu ulipomwona, wote walishangaa sana, wakamkimbilia wamsalimu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

15 Mara wale watu walipomwona Isa, wakastaajabu sana, wakamkimbilia ili kumsalimu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

15 Mara wale watu walipomwona Isa, wakastaajabu sana, wakamkimbilia ili kumsalimu.

Tazama sura Nakili

Marko 9:15
7 Marejeleo ya Msalaba  

Akamchukua Petro na Yakobo na Yohana pamoja nae, akaanza kufadhaika sana na kuhangaika.

Na wakiingia kaburini wakaona kijana ameketi upande wa kuume, amevaa vazi jeupe: wakastaajabu.

Nae akawaambia, Msistaajabu; muamtafuta Yesu Mnazareti, aliyesulibiwa: amefufuka: bayupo hapa: patazameni pahali walipomweka.

Akawauliza wale waandishi, Nini mnajadiliana nao?

Nae Yesu akiona ya kuwa makutano yanakusanyika mbio, akamkemea yule pepo mchafu, akamwambia, Ewe pepo bubu ua kiziwi, mimi nakuamuru, mtoke, wala usimwingie tena.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo