Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 9:14 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

14 Hatta alipowafikia wanafunzi wake, akaona makutano mengi wakiwazunguka na waandishi wakijadiliana nao;

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

14 Walipowafikia wale wanafunzi wengine, waliona umati mkubwa wa watu hapo. Na baadhi ya waalimu wa sheria walikuwa wanajadiliana nao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

14 Walipowafikia wale wanafunzi wengine, waliona umati mkubwa wa watu hapo. Na baadhi ya waalimu wa sheria walikuwa wanajadiliana nao.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

14 Walipowafikia wale wanafunzi wengine, waliona umati mkubwa wa watu hapo. Na baadhi ya waalimu wa sheria walikuwa wanajadiliana nao.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

14 Walipowafikia wale wanafunzi wengine, wakawakuta wamezungukwa na umati mkubwa wa watu na baadhi ya walimu wa Torati wakibishana nao.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

14 Walipowafikia wale wanafunzi wengine, wakawakuta wamezungukwa na umati mkubwa wa watu na baadhi ya walimu wa Torati wakibishana nao.

Tazama sura Nakili

Marko 9:14
9 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa mamlaka gani utendayo haya? Na ni nani aliyekupa mamlaka hii uyatende haya?

Hatta walipofika wakamwambia, Mwalimu, twajua ya kuwa wewe u mtu wa kweli, wala hujali cheo cha mtu; kwa maana hutazami sura za watu: lakini katika kweli waifundisha njia ya Mungu. Je! ni halali kumpa Kaisari kodi au sivyo? Tumpe, tusimpe?

Na baadhi ya waandishi walikuwako huko, wameketi, wakifikiri mioyoni mwao,

Lakini nawaambieni, Eliya amekwisha kuja, nao wakamtenda yote waliyoyataka kama alivyoandikiwa.

Akaingia ndani ya sunagogi, akanena kwa ujasiri, akihujiana na watu kwa muda wa miezi mitatu, na kuwavuta waamini mambo ya ufalme wa Mungu.

Maana mtafakarini sana yeye aliyeyavumilia mapingamizi makuu namna hii ya wenye dhambi juu ya nafsi zao, msije mkadhoofika mkizimia mioyoni mwenu.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo