Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 9:13 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

13 Lakini nawaambieni, Eliya amekwisha kuja, nao wakamtenda yote waliyoyataka kama alivyoandikiwa.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

13 Lakini nawaambieni, Elia amekwisha kuja, nao wakamtendea walivyotaka kama ilivyoandikwa juu yake.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

13 Lakini nawaambieni, Elia amekwisha kuja, nao wakamtendea walivyotaka kama ilivyoandikwa juu yake.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

13 Lakini nawaambieni, Elia amekwisha kuja, nao wakamtendea walivyotaka kama ilivyoandikwa juu yake.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

13 Lakini nawaambia, Ilya amekwisha kuja, nao wakamtendea walivyopenda, kama ilivyoandikwa kumhusu.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

13 Lakini ninawaambia, Ilya amekwisha kuja, nao wakamtendea walivyopenda, kama ilivyoandikwa kumhusu yeye.”

Tazama sura Nakili




Marko 9:13
9 Marejeleo ya Msalaba  

Na ikiwa mantaka kukubali, yeye ndiye Elia atakaekuja.


Akajihu akawaambia, Ni kweli Eliya yuaja kwanza, na kutengeneza yote; lakini, pamoja na haya ameandikwaje Mwana wa Adamu ya kwamba atateswa mengi na kudharanliwa?


Hatta alipowafikia wanafunzi wake, akaona makutano mengi wakiwazunguka na waandishi wakijadiliana nao;


Nae atatangulia mbele ya uso wake, mwenye roho ya Eliya, na nguvu zake, kuigeuza mioyo ya baba iwaelekee watoto wao, na kuwageuza maasi waelekee akili zao wenye haki; illi kumfanyia tayari Bwana watu waliotengenezwa.


Ni yupi katika manabii ambae baba zenu hawakumwudhi? nao waliwaua wale waliotabiri khabari za kuja kwake yule mwenye haki; ambae ninyi sasa mmemsaliti mkamwua;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo