Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 9:10 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

10 Wakalishika neno lile, wakiulizana wao kwa wao, Huku kufufuka katika wafu maana yake nini?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

10 Basi, wakashika agizo hilo, lakini wakawa wanajadiliana wao kwa wao maana ya kufufuka kutoka kwa wafu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

10 Basi, wakashika agizo hilo, lakini wakawa wanajadiliana wao kwa wao maana ya kufufuka kutoka kwa wafu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

10 Basi, wakashika agizo hilo, lakini wakawa wanajadiliana wao kwa wao maana ya kufufuka kutoka kwa wafu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

10 Wakalihifadhi jambo hilo wao wenyewe, lakini wakawa wanajiuliza, “Huku kufufuka kwa wafu maana yake nini?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

10 Wakalihifadhi jambo hilo wao wenyewe, lakini wakawa wanajiuliza, “Huku kufufuka kwa wafu maana yake nini?”

Tazama sura Nakili

Marko 9:10
15 Marejeleo ya Msalaba  

Petro akamchukua, akaanza kumkemea, akinena, Hasha, Bwana, haya hayatakupata.

Wakamhoji, wakinena, Waandishi wanena ya kuwa imempasa Eliya kuja kwanza.

Nao hawakulifahamu neno lile, wakaogopa kumwuliza.

Walipokuwa wakishuka mlimani akawaagiza wasimweleze mtu waliyoyaona, illa Mwana wa Adamu atakapokuwa amefufuka katika wafu.

Mambo haya wanafunzi wake hawakuyafahamu hapo kwanza; lakini Yesu alipotukuzwa, ndipo walikumbuka ya kwamba ameandikiwa haya na ya kwamba walimtendea haya.

Na baadhi ya Waepikurio na Wastoiko, matilosofo, wakakutana nae. Wengine wakasema, Mtu huyu mwenye maneno mengi anataka kusema nini? Wengine walisema, Anaonekana kuwa mtangaza khabari za miungu migeni, kwa maana alikuwa akikhubiri khabari za Yesu na ufufuo.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo