Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 8:9 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

9 Na watu waliokula wapata elfu nne. Akawaaga.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Nao waliokula walikuwa watu wapatao 4,000. Yesu akawaaga,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Nao waliokula walikuwa watu wapatao 4,000. Yesu akawaaga,

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Nao waliokula walikuwa watu wapatao 4,000. Yesu akawaaga,

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Watu waliokula walikuwa wapata elfu nne. Baada ya kuwaaga,

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Watu waliokula walikuwa wapata 4,000. Akiisha kuwaaga,

Tazama sura Nakili




Marko 8:9
4 Marejeleo ya Msalaba  

Kisha Yesu akawaacha makutano, akaingia nyumbani: wanafunzi wake wakamwendea, wakinena, Tufafanulie mfano wa magugu ya konde.


Marra akapanda chomboni pamoja na wanafunzi wake, akaenda pande za Dalmanutha.


Wakala, wakashiba, wakakusanya mabaki ya vipande vya mikate makanda saba.


Bassi, Yesu akawachukua wale thenashara akawaambia, Tazameni, tunapanda kwenda Yerusalemi, na yatatimizwa mambo yote aliyoandikiwa Mwana wa Adamu na manabii.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo