Marko 8:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19218 Wakala, wakashiba, wakakusanya mabaki ya vipande vya mikate makanda saba. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Watu wakala, wakashiba. Wakakusanya makombo wakajaza vikapu saba. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Watu wakala, wakashiba. Wakakusanya makombo wakajaza vikapu saba. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Watu wakala, wakashiba. Wakakusanya makombo wakajaza vikapu saba. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Wale watu walikula na kutosheka. Baadaye wanafunzi wakakusanya vipande vilivyosalia, wakajaza vikapu saba. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Wale watu walikula na kutosheka. Baadaye wanafunzi wakakusanya vipande vilivyosalia, wakajaza vikapu saba. Tazama sura |