Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 8:7 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

7 Walikuwa na visamaki vichache; akavibariki, akasema, na hivi waviandae.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

7 Walikuwa pia na visamaki vichache. Yesu akavibariki, akaamuru vigawiwe watu vilevile.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

7 Walikuwa pia na visamaki vichache. Yesu akavibariki, akaamuru vigawiwe watu vilevile.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

7 Walikuwa pia na visamaki vichache. Yesu akavibariki, akaamuru vigawiwe watu vilevile.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

7 Walikuwa pia na visamaki vichache, Isa akavibariki, akawaamuru wanafunzi wake wawagawie watu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

7 Walikuwa pia na visamaki vichache, Isa akavibariki, akawaamuru wanafunzi wake wawagawie watu.

Tazama sura Nakili

Marko 8:7
6 Marejeleo ya Msalaba  

Akawaagiza makutano waketi katika majani; akaitwaa ile mikate mitano na zile samaki mbili, akatazama juu mbinguni, akabariki, akamega, akawapa wanafunzi ile mikate, wanafunzi wakawapa makutano.

Akawaagiza makutano waketi chini: akaitwaa ile mikate saba, akashukuru, akaimega, akawapa wanafunzi wake wawaandalie: wakawaandalia makutano,

Bassi, mbona watazama kibanzi kilichomo jichoni mwa ndugu yako, na boriti iliyomo jichoni mwako huioni?

Bassi Yesu akawaambia, Wanangu, mna kitoweo? Wakamjibu, Hapana.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo