Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 8:6 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

6 Akawaagiza makutano waketi chini: akaitwaa ile mikate saba, akashukuru, akaimega, akawapa wanafunzi wake wawaandalie: wakawaandalia makutano,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

6 Basi, akawaamuru watu wakae chini. Akaitwaa ile mikate saba, akamshukuru Mungu, akaimega, akawapa wanafunzi wake wawagawie watu, nao wakawagawia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

6 Basi, akawaamuru watu wakae chini. Akaitwaa ile mikate saba, akamshukuru Mungu, akaimega, akawapa wanafunzi wake wawagawie watu, nao wakawagawia.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

6 Basi, akawaamuru watu wakae chini. Akaitwaa ile mikate saba, akamshukuru Mungu, akaimega, akawapa wanafunzi wake wawagawie watu, nao wakawagawia.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

6 Akawaambia watu waketi chini. Akaichukua ile mikate saba na kushukuru, baadaye akaimega na kuwapa wanafunzi wake ili wawagawie watu. Wanafunzi wake wakafanya hivyo.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

6 Akawaambia watu waketi chini. Akiisha kuichukua mikate saba na kushukuru, akaimega na kuwapa wanafunzi wake ili wawagawie watu. Wanafunzi wake wakafanya hivyo.

Tazama sura Nakili




Marko 8:6
18 Marejeleo ya Msalaba  

Walipokuwa wakila, Yesu akatwaa mkate, akaubariki, akaumega, akawapa wanafunzi wake, akasema, Twaeni, mle; huu ni mwili wangu.


Na ile saba kuwapa wale elfu nne, mlichukua makanda mangapi yamejaa vipande? Wakamwambia, Saba.


Akawauliza, Mikate mingapi mnayo? Wakasenia, Saba.


Walikuwa na visamaki vichache; akavibariki, akasema, na hivi waviandae.


Wa kheri watumishi wale ambao bwana wao ajapo atawakuta wanakesba. Amin, nawaambieni, atajifunga, atawaketisha, atakuja kuwakhudumia.


Ikawa, akiketi pamoja nao, akautwaa mkate, akaubariki, akaumega, akawagawia.


Mama yake akawaambia watumishi, Lo lote atakalowaambieni fanyeni.


(lakini mashua nyingine zilikuja kutoka Tiberia karibu na pahali pale walipokula mikate, wakati Bwana aiiposhukuru);


Yeye aadhimishae siku, kwa Bwana aiadhimisha; na yeye asiyeadhimisha siku, haiadhimishi kwa Bwana; nae alae, hula kwa Bwana, kwa maana amshukuru Mungu; nae asiokula, hali kwa Bwana, nae amshukuru Mungu.


Na killa mfanjalo, kwa neno au kwa tendo, fanyeni yote katika jina la Bwana Yesu, mkimshukuru Mungu Baba kwa yeye.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo