Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 8:5 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

5 Akawauliza, Mikate mingapi mnayo? Wakasenia, Saba.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Yesu akawauliza, “Mnayo mikate mingapi?” Wakamjibu, “Saba.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Yesu akawauliza, “Mnayo mikate mingapi?” Wakamjibu, “Saba.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Yesu akawauliza, “Mnayo mikate mingapi?” Wakamjibu, “Saba.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Isa akawauliza, “Mna mikate mingapi?” Wakajibu, “Tuna mikate saba.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Isa akawauliza, “Mna mikate mingapi?” Wakajibu, “Tuna mikate saba.”

Tazama sura Nakili




Marko 8:5
6 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akawaambia, Mikate mingapi mnayo? Wakasema, Saba, na visamaki vichache.


Akawaambia, Mikale mingapi mnayo? Enendeni mkatazame. Walipokwisha kujua wakanena, Mitano, na samaki mbili.


Wanafunzi wake wakamjibu, Atawezaje mtu kuwashibisha hawa mikate hapa nyikani?


Akawaagiza makutano waketi chini: akaitwaa ile mikate saba, akashukuru, akaimega, akawapa wanafunzi wake wawaandalie: wakawaandalia makutano,


Akawaambia, Wapeni ninyi chakula. Wakasema, Hatuna kitu zaidi ya mikate mitano na samaki mbili, tusipokwenda sisi wenyewe tukawannnulie vyakula watu hawa wote.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo