Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 8:32 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

32 Petro akamchukua akaanza kumkemea.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

32 Yesu aliwaambia jambo hilo waziwazi. Hapo, Petro akamchukua kando, akaanza kumkemea.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

32 Yesu aliwaambia jambo hilo waziwazi. Hapo, Petro akamchukua kando, akaanza kumkemea.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

32 Yesu aliwaambia jambo hilo waziwazi. Hapo, Petro akamchukua kando, akaanza kumkemea.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

32 Aliyasema haya waziwazi. Ndipo Petro akamchukua kando na akaanza kumkemea.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

32 Aliyasema haya waziwazi, ndipo Petro akamchukua kando na akaanza kumkemea.

Tazama sura Nakili




Marko 8:32
9 Marejeleo ya Msalaba  

Petro akamchukua, akaanza kumkemea, akinena, Hasha, Bwana, haya hayatakupata.


Yeye mwenyewe alikuwa katika shetri, amelala juu ya mto: wakamwamsha, wakamwambia, Mwalimu, si kitu kwako kuwa tunapotea?


Bali Martha alihangaika kwa khuduma nyingi: akamwendea, akasema, Bwana, haikukhussu wewe ya kuwa ndugu yangu ameniacha kukhudumu peke yangu? Bassi mwambie anisaidie.


Bassi Wayahudi wakamzunguka, wakamwambia, Hatta lini utatuangaisha roho zetu? Kama wewe u Kristo, tuambie wazi wazi.


Bassi hapo Yesu akawaambia kwa wazi, Lazaro amekufa.


Haya nimesema nanyi kwa methali: saa inakuja, sitasema nanyi tena kwa methali, lakini nitawapa kwa wazi khabari ya Baba.


Wanafunzi wake wakasema, Tazama, sasa wasema waziwazi, wala huneni methali yo yote.


Yesu akamjibu, Mimi nimesema na ulimwengu kwa wazi; mimi siku zote nalifundisha katika masunagogi na katika hekalu, wakusanyikapo Wayahudi siku zote; wala kwa siri sikusema neno.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo