Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 8:30 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

30 Akawaagiza wasimwambie mtu khabari zake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

30 Kisha Yesu akawaonya wasimwambie mtu yeyote habari zake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

30 Kisha Yesu akawaonya wasimwambie mtu yeyote habari zake.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

30 Kisha Yesu akawaonya wasimwambie mtu yeyote habari zake.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

30 Isa akawaonya wasimwambie mtu yeyote habari zake.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

30 Isa akawaonya wasimwambie mtu yeyote habari zake.

Tazama sura Nakili




Marko 8:30
6 Marejeleo ya Msalaba  

Ndipo akawaagiza sana wanafunzi wake wasimwambie mtu ya kwamba yeye ndiye Yesu aliye Kristo.


Yesu akamwambia, Angalia, usimwambie mtu; illa enenda zako, ukajionyeshe kwa kuhani, utoe sadaka kama alivyoamuru Musa, iwe ushuhuda kwao.


Akawaagiza wasimwambie mtu; lakini kwa kadiri alivyozidi kuwaagiza, ndivyo walivyozidi kutangaza khabari, wakashangaa mno kupita kiasi, wakinena,


Akampeleka nyumbani kwake, akinena, Usiingie mjini, wala usiseme na mtu mjini.


Walipokuwa wakishuka mlimani akawaagiza wasimweleze mtu waliyoyaona, illa Mwana wa Adamu atakapokuwa amefufuka katika wafu.


Petro akajibu, akasema, Kristo wa Mungu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo