Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 8:29 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

29 Yeye akawauliza, Na ninyi mnasema ya kuwa mimi ni nani? Petro akamjibu akamwambia, Wewe ndiwe Kristo.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

29 Naye akawauliza, “Na nyinyi je, mnasema mimi ni nani?” Petro akamjibu, “Wewe ndiwe Kristo.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

29 Naye akawauliza, “Na nyinyi je, mnasema mimi ni nani?” Petro akamjibu, “Wewe ndiwe Kristo.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

29 Naye akawauliza, “Na nyinyi je, mnasema mimi ni nani?” Petro akamjibu, “Wewe ndiwe Kristo.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

29 Akawauliza, “Je, ninyi mnasema mimi ni nani?” Petro akajibu, “Wewe ndiwe Al-Masihi.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

29 Akawauliza, “Je, ninyi mnasema mimi ni nani?” Petro akajibu, “Wewe ndiwe Al-Masihi.”

Tazama sura Nakili




Marko 8:29
13 Marejeleo ya Msalaba  

Akawaambia, Ninyi mmejaliwa kuijua siri ya ufalme wa Mungu; hali wale walio nje yote huwawia kwa mifano,


Akawaambia, Na ninyi mwaninena mimi kuwa nani?


Akamwambia, Naam, Bwana; mimi nimeamini ya kwamba wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu, yule ajae ulimwenguni.


Wakamwambia yule mwanamke, Sasa tunaamini, wala si kwa sababu ya maneno yako; maana tumesikia wenyewe, tena twajua ya kuwa hakika yake huyu ni Mwokozi wa ulimwengu.


Bassi Simon Petro akamjibu, Bwana! twende kwa nani? Wewe una maneno ya uzima wa milele.


Nasi tumeamini, tena tumejua ya kuwa wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hayi.


Wakawa wakiendelea njiani, wakafika mahali penye maji: yule tawashi akasema, Yanizuia nini nisibatizwe?


Marra akamkhubiri Yesu katika masunagogi, kwamba yeye ni Mwana wa Mungu.


Bassi, thamani hii ni kwenu ninyi mnaoamini, bali kwao wasioamini, Jiwe walilolikataa waashi, Limekuwa jiwe kuu la pembeni;


Killa aungamae ya kuwa Yesu ni Mwana wa Mungu, Mungu hukaa ndani yake, nae ndani ya Mungu.


KILLA mtu aaminiye kwamba Yesu ni Kristo amezaliwa na Mungu. Na killa mtu ampendae mwenye kuzaa ampenda na yeye mwenye kuzaliwa nae.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo