Marko 8:28 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192128 Wakamjibu, Yohana Mbatizaji; wengine Eliya; wengine mmojawapo wa manabii. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 Wakamjibu, “Wengine wanasema wewe ni Yohane Mbatizaji, wengine Elia na wengine mmojawapo wa manabii.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Wakamjibu, “Wengine wanasema wewe ni Yohane Mbatizaji, wengine Elia na wengine mmojawapo wa manabii.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Wakamjibu, “Wengine wanasema wewe ni Yohane Mbatizaji, wengine Elia na wengine mmojawapo wa manabii.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 Wakamjibu, “Baadhi husema wewe ni Yahya, wengine husema ni Ilya, na bado wengine husema wewe ni mmoja wa manabii.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 Wakamjibu, “Baadhi husema wewe ni Yahya, wengine husema ni Ilya, na bado wengine husema wewe ni mmojawapo wa manabii.” Tazama sura |