Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 8:27 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

27 Akatoka Yesu na wanafunzi wake wakaenda vijiji vya Kaisaria ya Filipo: hatta njiani akawauliza wanafunzi wake, akiwaambia, Watu huninena mimi ni nani?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

27 Kisha Yesu na wanafunzi wake walikwenda katika vijiji vya Kaisarea Filipi. Walipokuwa njiani, Yesu aliwauliza wanafunzi wake, “Watu wanasema mimi ni nani?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

27 Kisha Yesu na wanafunzi wake walikwenda katika vijiji vya Kaisarea Filipi. Walipokuwa njiani, Yesu aliwauliza wanafunzi wake, “Watu wanasema mimi ni nani?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

27 Kisha Yesu na wanafunzi wake walikwenda katika vijiji vya Kaisarea Filipi. Walipokuwa njiani, Yesu aliwauliza wanafunzi wake, “Watu wanasema mimi ni nani?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

27 Isa na wanafunzi wake wakaelekea vijiji vya Kaisaria-Filipi. Walipokuwa njiani, Isa akawauliza, “Watu husema mimi ni nani?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

27 Isa na wanafunzi wake wakaondoka kwenda katika vijiji vya Kaisaria-Filipi. Walipokuwa njiani, Isa akawauliza, “Watu husema mimi ni nani?”

Tazama sura Nakili

Marko 8:27
2 Marejeleo ya Msalaba  

Tufuate:

Matangazo

Matangazo