Marko 8:26 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192126 Akampeleka nyumbani kwake, akinena, Usiingie mjini, wala usiseme na mtu mjini. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema26 Yesu akamwambia aende zake nyumbani na kumwamuru, “Usirudi kijijini!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND26 Yesu akamwambia aende zake nyumbani na kumwamuru, “Usirudi kijijini!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza26 Yesu akamwambia aende zake nyumbani na kumwamuru, “Usirudi kijijini!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu26 Isa akamtuma nyumbani mwake, akamwambia, “Hata kijijini usiingie.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu26 Isa akamuaga aende nyumbani kwake, akimwambia, “Hata kijijini usiingie.” Tazama sura |