Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 8:25 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

25 Ndipo akaweka mkono wake juu yake marra ya pili machoni mwake, akamwagiza atazame juu; akapata kuwa mzima, akaona wote waziwazi, wajapokuwa mbali.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

25 Kisha Yesu akamwekea tena mikono machoni, naye akakaza macho, uwezo wake wa kuona ukamrudia, akaona kila kitu sawasawa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

25 Kisha Yesu akamwekea tena mikono machoni, naye akakaza macho, uwezo wake wa kuona ukamrudia, akaona kila kitu sawasawa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

25 Kisha Yesu akamwekea tena mikono machoni, naye akakaza macho, uwezo wake wa kuona ukamrudia, akaona kila kitu sawasawa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

25 Isa akamwekea tena mikono machoni. Kisha macho yake yakafunguka, kuona kwake kukarejea naye akaona kila kitu dhahiri.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

25 Isa akamwekea tena mikono machoni. Kisha macho yake yakafunguka, kuona kwake kukarejea naye akaona kila kitu dhahiri.

Tazama sura Nakili

Marko 8:25
9 Marejeleo ya Msalaba  

Kwa maana ye yote aliye na mali atapewa, na hado atazidishiwa tele: lakini ye yote asiye nayo, hatta ile aliyo nayo ataondolewa.

Akatazama juu, akanena, Naona watu kama miti, inakwenda.

Akampeleka nyumbani kwake, akinena, Usiingie mjini, wala usiseme na mtu mjini.

Walipokuwa wakikaza macho mbinguni, yeye alipokuwa akienda zake, watu wawili wakasimama karibu nao, wenye nguo nyeupe,

Mtu huyo alimsikia Paolo akinena; nae akamkazia macho akaona ya kuwa ana imani ya kuponywa,

niliaminilo ndilo hili, ya kwamba yeye aliyeanza kazi njema mioyoni mwenu ataimaliza hatta siku ya Yesu Kristo;

Bali ninyi m mzao mteule, ukubani wa kifaume, taifa takatifu, watu wa milki, mpate kutangaza fadhili zake aliyewaita mtoke gizani mkaingie katika nuru yake ya ajabu;

Lakini, kaeni katika neema, na katika kumjua Bwana wetu, Mwokozi wetu, Yesu Kristo. Utukufu una yeye sasa na hatta milele. Amin.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo