Marko 8:24 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192124 Akatazama juu, akanena, Naona watu kama miti, inakwenda. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema24 Huyo kipofu akatazama, akasema, “Ninawaona watu wanaoonekana kama miti inayotembea.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND24 Huyo kipofu akatazama, akasema, “Ninawaona watu wanaoonekana kama miti inayotembea.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza24 Huyo kipofu akatazama, akasema, “Ninawaona watu wanaoonekana kama miti inayotembea.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu24 Yule kipofu akaangalia, akasema, “Ninaona watu, wanaonekana kama miti inayotembea.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu24 Yule kipofu akaangalia, akasema, “Ninaona watu, wanaonekana kama miti inayotembea.” Tazama sura |