Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 8:23 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

23 Akamshika mkono vule kipofu, akamchukua nje ya kijiji, akamtemea mate ya macho, akaweka mikono yake juu yake, akamwuliza, Waona kitu?

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

23 Yesu akamshika huyo kipofu mkono, akampeleka nje ya kijiji. Akamtemea mate machoni, akamwekea mikono, akamwuliza, “Je, unaweza kuona kitu?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

23 Yesu akamshika huyo kipofu mkono, akampeleka nje ya kijiji. Akamtemea mate machoni, akamwekea mikono, akamwuliza, “Je, unaweza kuona kitu?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

23 Yesu akamshika huyo kipofu mkono, akampeleka nje ya kijiji. Akamtemea mate machoni, akamwekea mikono, akamwuliza, “Je, unaweza kuona kitu?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

23 Isa akamshika mkono huyo kipofu akampeleka nje ya kijiji. Baada ya kuyatemea mate macho ya yule kipofu na kumwekea mikono, Isa akamuuliza, “Unaona chochote?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

23 Isa akamshika mkono huyo kipofu akampeleka nje ya kijiji. Baada ya kuyatemea mate macho ya yule kipofu na kumwekea mikono, Isa akamuuliza, “Unaona chochote?”

Tazama sura Nakili

Marko 8:23
12 Marejeleo ya Msalaba  

akimsihi sana, akinena. Binti yangu mdogo yu katika kufa: nakuomba nje, nweke mkono wako juu yake, apate kupona, nae ataishi.

Akamtenga na makutano kwa faragha, akatia vidole vyake masikioni mwake, akatema mate, akamgusa nlimi,

Akatazama juu, akanena, Naona watu kama miti, inakwenda.

Akampeleka nyumbani kwake, akinena, Usiingie mjini, wala usiseme na mtu mjini.

Yule jemadari akamshika mkono akaenda nae kando, akamwuliza kwa faragha, Una neno gani utakalo kuniarifu?

Saul akaondoka katika inchi, na macho yake yalipofumbuka, hakuona kitu: wakamshika mkono wakamleta hatta Dameski.

Kwa sababu hawakudumu katika agano langu, mimi nami sikuwaangalia, asema Bwana.

Nakupa shauri, ununue kwangu dhahabu iliyosafishwa kwa moto, upate kuwa tajiri; na mavazi meupe upate kuvaa, aibu ya nchi wako isionekane; na dawa ya macho ya kujipaka macho yako upate kuona,

Tufuate:

Matangazo

Matangazo