Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 8:22 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

22 Wakalika Bethsaida, wakamletea kipofu, wakamsihi amguse.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

22 Yesu alifika Bethsaida pamoja na wanafunzi wake. Huko watu wakamletea kipofu, wakamwomba amguse.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

22 Yesu alifika Bethsaida pamoja na wanafunzi wake. Huko watu wakamletea kipofu, wakamwomba amguse.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

22 Yesu alifika Bethsaida pamoja na wanafunzi wake. Huko watu wakamletea kipofu, wakamwomba amguse.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

22 Wakafika Bethsaida na baadhi ya watu wakamleta mtu mmoja kipofu wakamsihi Isa amguse.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

22 Wakafika Bethsaida na baadhi ya watu wakamleta mtu mmoja kipofu wakamsihi Isa amguse.

Tazama sura Nakili




Marko 8:22
14 Marejeleo ya Msalaba  

Ole wako, Korazin! Ole wako, Bethsaida! Kwa maana kama miujiza iliyofanyika kwenu ingalifanyika katika Turo na Sidon, wangalitubu zamani kwa kuvaa gunia na majivu.


wakamsihi waguse hatta pindo la vazi lake; na wote waliogusa wakaponywa kabisa.


Akamgusa mkono wake, homa ikamwacha; nae akaondoka, akawatumikia.


Yesu akanyosha mkono wake, akamgusa, akinena, Nataka: takasika. Marra ukoma wake ukatakasika.


Marra akawagusa macho yao, akanena, Kwa kadiri ya imani yenu mpate.


Wakaja watu wakimletea mtu mwenye kupooza, anachukuliwa na watu wane.


Maana aliponya wengi, hatta wote waliokuwa na misiba wakamrukia wapate kumgusa.


Marra akawashurutisha wanafunzi wake wapande chomboni, watangulie kwenda ngʼambu hatta Betsaida wakati yeye alipokuwa akiwaaga makutano.


Ole wako, Korazin! Ole wako Bethsaida! kwa maana kama miujiza iliyofanyika kwenu, ingalifanyika katika Turo na Sodom, wangalitubu zamani, wakiketi katika nguo za kigunia na majivu.


Wale mitume waliporudi wakamweleza mambo yote waliyoyatenda; akawachukua, akaenda zake kwa faragha mahali pasipo watu, karibu na mji uitwao Bethsaida.


Nae Filipo alikuwa mtu wa Bethsaida, mtu wa mji wa Andrea na Petro.


Bassi hao walimwendea Filipo wa Bethsaida wa Galilaya, wakimwuliza, wakisema, Bwana, tunataka kumwona Yesu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo