Marko 8:14 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192114 Wakasahan kuchukua mikate, wala chomboni hawana illa mkate mmoja tu. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema14 Wanafunzi walikuwa wamesahau kuchukua mikate; walikuwa na mkate mmoja tu katika mashua. Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND14 Wanafunzi walikuwa wamesahau kuchukua mikate; walikuwa na mkate mmoja tu katika mashua. Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza14 Wanafunzi walikuwa wamesahau kuchukua mikate; walikuwa na mkate mmoja tu katika mashua. Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu14 Wanafunzi walikuwa wamesahau kuchukua mikate ya kutosha. Walikuwa na mkate mmoja tu kwenye mashua. Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu14 Wanafunzi walikuwa wamesahau kuchukua mikate ya kutosha. Walikuwa na mkate mmoja tu kwenye mashua. Tazama sura |