Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 8:12 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

12 Akaugua rohoni mwake, akanena, Mbona kizazi hiki chatafuta ishara? Amin, nawaambieni, Hakitapewa ishara kizazi hiki.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

12 Yesu akahuzunika rohoni, akasema, “Mbona kizazi hiki kinataka ishara? Kweli nawaambieni, kizazi hiki hakitapewa ishara yoyote.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

12 Yesu akahuzunika rohoni, akasema, “Mbona kizazi hiki kinataka ishara? Kweli nawaambieni, kizazi hiki hakitapewa ishara yoyote.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

12 Yesu akahuzunika rohoni, akasema, “Mbona kizazi hiki kinataka ishara? Kweli nawaambieni, kizazi hiki hakitapewa ishara yoyote.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

12 Akahuzunika moyoni, akawaambia, “Kwa nini kizazi hiki kinataka ishara? Amin nawaambieni, hakitapewa ishara yoyote.”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

12 Akahuzunika moyoni, akawaambia, “Kwa nini kizazi hiki kinataka ishara? Amin nawaambieni, hakitapewa ishara yoyote.”

Tazama sura Nakili

Marko 8:12
15 Marejeleo ya Msalaba  

Hapo baadhi ya waandishi na Mafarisayo wakamjibu, wakinena, Mwalimu, twataka kuona ishara kwako.

Kizazi kibaya na cha zina chataka ishara; wala hakitapewa ishara, isipokuwa ishara ya nabii Yunus. Akawaacha, akaenda zake.

Akawakazia macho pande zote kwa ghadhabu, akiona huzuni kwa ajili ya ugumu wa mioyo yao, akamwambia yule mtu. Nyosha mkono wako. Akaunyosha: mkono wake ukapona ukawa mzima kama wa pili:

Akastaajahu kwa sababu ya kutokuamini kwao. Akazungukazunguka katika vile vijiji, akifundisha.

akatazama juu mbinguni, akaugua, akamwambia, Effatha, maana yake, Funguka!

Akawaacha, akapanda tena chomboni, akaenda zake hatta ngʼambu.

Akamjibu, akanena, Ee kizazi kisichoamini, niwe kwenu hatta lini? nichukuliane nanyi hatta lini? Mleteni kwangu.

Nae alipokaribia akauona mji, akaulilia,

Tufuate:

Matangazo

Matangazo