Marko 7:8 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 19218 Kwa maana mmeiacha amri ya Mungu, na kuzishika hadithi za wana Adamu, kuosha midumu na vikombe: na mengine mengi ya namna hii mwayafanya. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema8 Nyinyi mnaiacha amri ya Mungu na kushikilia maagizo ya watu.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND8 Nyinyi mnaiacha amri ya Mungu na kushikilia maagizo ya watu.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza8 Nyinyi mnaiacha amri ya Mungu na kushikilia maagizo ya watu.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu8 Ninyi mmeziacha amri za Mungu na kushika desturi za watu.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu8 Ninyi mmeziacha amri za Mungu na kushika desturi za watu.” Tazama sura |