Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 7:5 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

5 Bassi wale Mafarisayo na waandishi wakamwuliza, Mbona wanafunzi wako hawaendi kwa kuzifuata hadithi za wazee, bali hula chakula kwa mikono najis?

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

5 Basi, Mafarisayo na waalimu wa sheria wakamwuliza Yesu, “Kwa nini wanafunzi wako hawafuati mapokeo tuliyoyapokea kwa wazee wetu, bali hula chakula kwa mikono najisi?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

5 Basi, Mafarisayo na waalimu wa sheria wakamwuliza Yesu, “Kwa nini wanafunzi wako hawafuati mapokeo tuliyoyapokea kwa wazee wetu, bali hula chakula kwa mikono najisi?”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

5 Basi, Mafarisayo na waalimu wa sheria wakamwuliza Yesu, “Kwa nini wanafunzi wako hawafuati mapokeo tuliyoyapokea kwa wazee wetu, bali hula chakula kwa mikono najisi?”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

5 Hivyo, wale Mafarisayo na walimu wa Torati wakamuuliza Isa, “Mbona wanafunzi wako hawafuati desturi za wazee, na badala yake wanakula kwa mikono najisi?”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

5 Kwa hiyo wale Mafarisayo na walimu wa Torati wakamuuliza Isa, “Mbona wanafunzi wako hawafuati desturi za wazee, na badala yake wanakula kwa mikono najisi?”

Tazama sura Nakili




Marko 7:5
12 Marejeleo ya Msalaba  

Mbona wanafunizi wako huyakhalifu mapokeo ya wazee, kwa maana hawanawi mikono walapo chakula.


mkilitangua neno la Mungu kwa hadithi yenu mliyohadithia; tena mwafanya mambo mengi yaliyo sawasawa na hayo.


Kwa maana mmeiacha amri ya Mungu, na kuzishika hadithi za wana Adamu, kuosha midumu na vikombe: na mengine mengi ya namna hii mwayafanya.


Akawaambia, Mwaikataa vema amri ya Mungu mpate kushika hadithi zenu.


Nao wameambiwa khabari zako, ya kwamba unawafundisha Wayahudi wote wakaao katika mataifa kumwacha Musa, ukiwaambia wasiwatahiri watoto wao, wala wasizifuate desturi.


Chukua watu hao, ujitakase pamoja nao, na kuwagharimia illi wanyoe vichwa vyao, watu wote wapate kujua ya kuwa khabari zile walizoambiwa juu yako si kitu, bali wewe mwenyewe unaenenda vizuri na kuishika sharia.


na baba ya kutahiriwa, si kwa hao waliotahiriwa tu, bali kwa hao waliotahiriwa na kuzifuasa uyayo za imani yake baba yetu Ibrahimu aliyokuwa nayo kabla asijatahiriwa.


nami nalitangulia katika dini ya Kiyahudi kuliko wengi walio hirimu zangu katika kabila yangu, nikajitahidi sana katika kushika mapokeo ya baba zangu.


Maana twasikia kwamba wako watu kwenu waendao bila utaratibu, hawʼana shughuli yao wenyewe, bali wanajishughulisha na mambo ya wengine.


Twawaagizeni, ndugu, katika jina la Bwana wetu Yesu Kristo, jitengeni nafsi zenu na killa ndugu aendae bila utaratibu, wala si kwa kufuata mapokeo mliyoyapokea kwetu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo