Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 7:37 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

37 Ametenda yote vizuri; viziwi awafanya wasikie, na bubu waseme.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

37 Watu walishangaa sana, wakasema, “Amefanya yote vyema: Amewajalia viziwi kusikia, na mabubu kusema!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

37 Watu walishangaa sana, wakasema, “Amefanya yote vyema: Amewajalia viziwi kusikia, na mabubu kusema!”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

37 Watu walishangaa sana, wakasema, “Amefanya yote vyema: amewajalia viziwi kusikia, na mabubu kusema!”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

37 Walistaajabu mno. Wakasema, “Amefanya mambo yote vizuri mno! Amewawezesha viziwi wasikie na bubu waseme!”

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

37 Walistaajabu mno. Wakasema, “Amefanya mambo yote vizuri mno! Amewawezesha viziwi wasikie na bubu waseme!”

Tazama sura Nakili




Marko 7:37
16 Marejeleo ya Msalaba  

Hatta wale walipokuwa wakitoka, wakamletea mtu bubu mwenye pepo.


Wakashangaa wote hatta wakaulizana, wakinena, Nini hii? Elimu hii mpya ni elimn gani? Maana kwa mamlaka awaamuru pepo wachafu nao wakamtii!


Akaondoka marra, akajitwika kitanda chake, akatoka mbele yao wote; hatta wakastaajabu wote, wakamtukuza Mungu, wakinena, Namna hii hatujapata kuyaona kamwe.


Wakaingizwa na khofu kuu, wakaambiana, Ni nani huyu, bassi, hatta upepo na bahari zamtii?


Marra akasimama yule kijana, akaenda; maana alikuwa amepata miaka thenashara. Wakashangaa mshangao mwingi.


Akapanda mle cbomboni walimo; npepo ukakoma; wakashangaa sana, kupita kiasi, wakastaajabu;


Akawaagiza wasimwambie mtu; lakini kwa kadiri alivyozidi kuwaagiza, ndivyo walivyozidi kutangaza khabari, wakashangaa mno kupita kiasi, wakinena,


TENA siku zile, kwa kuwa mengi mno makutano, nao hawana kitu cha kula, Yesu akawaita wanafunzi wake, akawaambia,


Na sisi kweli ina haki; kwa maana sisi tunalipwa ijara ya haki ya matendo yetu: bali huyu hakutenda neno lisilofaa.


Na makutano walipoona aliyoyafanya Paolo wakapaaza sauti zao, wakisema kwa Kilukaonia, Mungu wametushukia kwa mifano ya wana Adamu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo