Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 7:36 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

36 Akawaagiza wasimwambie mtu; lakini kwa kadiri alivyozidi kuwaagiza, ndivyo walivyozidi kutangaza khabari, wakashangaa mno kupita kiasi, wakinena,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

36 Yesu akawaamuru wasimwambie mtu juu ya jambo hilo. Lakini kadiri alivyowakataza, ndivyo walivyozidi kutangaza habari hiyo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

36 Yesu akawaamuru wasimwambie mtu juu ya jambo hilo. Lakini kadiri alivyowakataza, ndivyo walivyozidi kutangaza habari hiyo.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

36 Yesu akawaamuru wasimwambie mtu juu ya jambo hilo. Lakini kadiri alivyowakataza, ndivyo walivyozidi kutangaza habari hiyo.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

36 Isa akawaamuru wasimwambie mtu yeyote habari hizi. Lakini kadiri alivyowakanya, ndivyo walivyozidi kutangaza kwa bidii.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

36 Isa akawaamuru wasimwambie mtu yeyote habari hizi. Lakini kadiri alivyowazuia, ndivyo walivyozidi kutangaza kwa bidii.

Tazama sura Nakili




Marko 7:36
8 Marejeleo ya Msalaba  

Yesu akamwambia, Angalia, usimwambie mtu; illa enenda zako, ukajionyeshe kwa kuhani, utoe sadaka kama alivyoamuru Musa, iwe ushuhuda kwao.


Akawagombeza sana, wasimdhihirishe.


Akawaagiza sana, mtu asijue khabari ile; akaamuru apewe chakula.


Marra masikio yake yakafunguka, kifungo cha ulimi wake kikalegea, akasema vizuri.


Ametenda yote vizuri; viziwi awafanya wasikie, na bubu waseme.


Akampeleka nyumbani kwake, akinena, Usiingie mjini, wala usiseme na mtu mjini.


Walipokuwa wakishuka mlimani akawaagiza wasimweleze mtu waliyoyaona, illa Mwana wa Adamu atakapokuwa amefufuka katika wafu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo