Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 7:33 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

33 Akamtenga na makutano kwa faragha, akatia vidole vyake masikioni mwake, akatema mate, akamgusa nlimi,

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

33 Yesu akamtenga na umati wa watu, akamtia vidole masikioni, akatema mate na kumgusa ulimi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

33 Yesu akamtenga na umati wa watu, akamtia vidole masikioni, akatema mate na kumgusa ulimi.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

33 Yesu akamtenga na umati wa watu, akamtia vidole masikioni, akatema mate na kumgusa ulimi.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

33 Isa akampeleka yule kiziwi kando, mbali na watu, akatia vidole vyake masikioni mwa yule mtu. Kisha akatema mate na kuugusa ulimi wa yule mtu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

33 Baadaye Isa akampeleka yule kiziwi kando mbali na watu, Isa akatia vidole vyake masikioni mwa yule mtu. Kisha akatema mate na kuugusa ulimi wa yule mtu.

Tazama sura Nakili




Marko 7:33
8 Marejeleo ya Msalaba  

Ndipo wakamtemea mate va uso, wakampiga konde; wengine wakampiga makofi,


Nae alipokwisha kuwatoa nje wote, akamtwaa baba yake yule mtoto na mama yake, na wale walio pamoja nae, akaingia ndani alimokuwamo yule mtoto.


Akamshika mkono vule kipofu, akamchukua nje ya kijiji, akamtemea mate ya macho, akaweka mikono yake juu yake, akamwuliza, Waona kitu?


Tufuate:

Matangazo


Matangazo