Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 7:32 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

32 Wakamletea kiziwi, nae ana kigugumizi, wakamsihi aweke mikono yake juu yake.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

32 Basi, wakamletea bubu kiziwi, wakamwomba amwekee mikono.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

32 Basi, wakamletea bubu kiziwi, wakamwomba amwekee mikono.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

32 Basi, wakamletea bubu kiziwi, wakamwomba amwekee mikono.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

32 Huko, watu wakamletea Isa mtu mmoja kiziwi, ambaye pia alikuwa na kigugumizi, wakamwomba aweke mkono wake juu ya huyo mtu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

32 Huko, watu wakamletea Isa mtu mmoja kiziwi, ambaye pia alikuwa na kigugumizi, wakamwomba aweke mkono wake juu ya huyo mtu na amponye.

Tazama sura Nakili




Marko 7:32
4 Marejeleo ya Msalaba  

akimsihi sana, akinena. Binti yangu mdogo yu katika kufa: nakuomba nje, nweke mkono wako juu yake, apate kupona, nae ataishi.


Marra masikio yake yakafunguka, kifungo cha ulimi wake kikalegea, akasema vizuri.


Na Yesu alikuwa akifukuza pepo bubu. Ikawa yule pepo alipotoka, bubu akasema, makutano wakastaajabu.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo