Marko 7:29 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192129 Akamwambia, Kwa sababu ya neno hilo, nenda zako; pepo amemtoka binti yako. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema29 Yesu akamwambia, “Kwa sababu ya neno hilo, nenda. Pepo amemtoka binti yako!” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND29 Yesu akamwambia, “Kwa sababu ya neno hilo, nenda. Pepo amemtoka binti yako!” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza29 Yesu akamwambia, “Kwa sababu ya neno hilo, nenda. Pepo amemtoka binti yako!” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu29 Ndipo Isa akamjibu, “Kwa sababu ya jibu lako, nenda zako nyumbani; yule pepo mchafu amemtoka binti yako.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu29 Ndipo Isa akamjibu, “Kwa sababu ya jibu lako, nenda zako nyumbani; yule pepo mchafu amemtoka binti yako.” Tazama sura |