Marko 7:28 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 192128 Nae akajibu, akamwambia, Naam, Bwana, lakini hatta mbwa chini ya meza hula makombo ya watoto. Tazama suraMatoleo zaidiBiblia Habari Njema28 Lakini huyo mama akasema, “Ni kweli, Bwana; lakini hata mbwa walio chini ya meza hula makombo ya watoto.” Tazama suraBiblia Habari Njema - BHND28 Lakini huyo mama akasema, “Ni kweli, Bwana; lakini hata mbwa walio chini ya meza hula makombo ya watoto.” Tazama suraBiblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza28 Lakini huyo mama akasema, “Ni kweli, Bwana; lakini hata mbwa walio chini ya meza hula makombo ya watoto.” Tazama suraNeno: Bibilia Takatifu28 Lakini yule mwanamke akamjibu, “Bwana, hata mbwa walio chini ya meza hula makombo ya chakula cha watoto.” Tazama suraNeno: Maandiko Matakatifu28 Lakini yule mwanamke akamjibu, “Bwana, hata mbwa walio chini ya meza hula makombo ya chakula cha watoto.” Tazama sura |