Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 7:26 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

26 (Na vule mwanamke ni Myunani, kabila yake Msurofenissa). Akamwomba amfukuze pepo katika binti yake.

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

26 Mama huyo alikuwa Mgiriki, mwenyeji wa Sirofoinike. Basi, akamwomba Yesu amtoe binti yake pepo mchafu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

26 Mama huyo alikuwa Mgiriki, mwenyeji wa Sirofoinike. Basi, akamwomba Yesu amtoe binti yake pepo mchafu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

26 Mama huyo alikuwa Mgiriki, mwenyeji wa Sirofoinike. Basi, akamwomba Yesu amtoe binti yake pepo mchafu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

26 Basi huyo mwanamke alikuwa Myunani, aliyezaliwa Foinike ya Siria. Akamsihi Isa amtoe binti yake huyo pepo mchafu.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

26 Basi huyo mwanamke alikuwa Myunani, aliyezaliwa Foinike ya Siria. Akamsihi Isa amtoe binti yake huyo pepo mchafu.

Tazama sura Nakili

Marko 7:26
7 Marejeleo ya Msalaba  

Na mwanamke Mkauanaya wa mipaka ile akatokea, akampaazia sauti, akinena, Unirehemu. Bwana, Mwana wa Daud; binti yangu amepagawa sana na pepo.

Khabari zake zikaenea katika Sham yote; wakamletea watu waliokuwa hawawezi, walioshikwa mi maradhi mbali mbali na mateso, nao wenye pepo, na wenye kifafa, na wenye kupooza; akawaponya.

Kwa sababu mwanamke, ambae binti yake yuna pepo mchafu, alisikia khabari zake, akaja akamwangukia miguu.

Akamwambia, Waache watoto washibe kwanza: maana si vema kukitwaa chakula cha watoto, na kuwatupia mbwa.

Hapana Myahudi wala Myunani. Hapana mtumwa wala huru. Hapana mtu mume wala mtu mke. Maana ninyi nyote ni mmoja katika Kristo Yesu.

Hapo hapana Myunani wala Myahudi, kutahiriwa wala kutokutahiriwa, mshenzi wala Mskuthi, mtumwa wala mungwana, bali Kristo ni yote, na katika wote.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo