Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 7:2 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

2 wakaona baadhi ya wanafunzi wake wakila vyakula kwa mikono najis, yaani, yasiyonawiwa, wakawalaumu.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

2 Waliona kwamba baadhi ya wanafunzi wake walikula mikate kwa mikono najisi, yaani bila kunawa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

2 Waliona kwamba baadhi ya wanafunzi wake walikula mikate kwa mikono najisi, yaani bila kunawa.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

2 Waliona kwamba baadhi ya wanafunzi wake walikula mikate kwa mikono najisi, yaani bila kunawa.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

2 Wakawaona baadhi ya wanafunzi wake wakila chakula kwa mikono iliyo najisi, yaani bila kunawa kama ilivyotakiwa na Torati ya Wayahudi.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

2 Wakawaona baadhi ya wanafunzi wake wakila chakula kwa mikono iliyo najisi, yaani, bila kunawa kama ilivyotakiwa na Torati ya dini ya Wayahudi.

Tazama sura Nakili




Marko 7:2
12 Marejeleo ya Msalaba  

Mbona wanafunizi wako huyakhalifu mapokeo ya wazee, kwa maana hawanawi mikono walapo chakula.


Bassi wale Mafarisayo na waandishi wakamwuliza, Mbona wanafunzi wako hawaendi kwa kuzifuata hadithi za wazee, bali hula chakula kwa mikono najis?


Yule Farisayo alipoona akastaajabu kwa sababu hakunawa kabla ya chakula.


Akawaambia, Mnajua ya kuwa si halali mtu aliye Myahudi aongee na mtu aliye wa taifa lingine wala kumwendea, hikini Mungu amenionya, nisimwite mtu awae yote mchafu wala najis.


Nikasema, Hasha, Bwana, kwa maana kitu kilicho kichafu au kilicho najis hakijaingia kinywani mwangu.


Najua, tena nimehakikishwa sana katika Bwana Yesu, ya kuwa hakuna kitu kilicho najis asili yake, lakini kwake huyu akionae kitu kuwa najis, kwake huyo kitu kile ni najis.


Mwaonaje? Haikumpasa adhabu iliyo kubwa zaidi mtu yule aliyemkanyaga Mwana wa Mungu, na kuihesabu damu ya agano aliyotakaswa nayo kuwa ni kitu ovyo, na kumfanyia jeuri Roho ya neema?


Na ndani yake hakitaingia kamwe cho chote kilicho kinyonge, wala yeye afanyae machukizo na uwongo, bali wale walioandikwa katika kitabu cha uzima cha Mwana kondoo.


Tufuate:

Matangazo


Matangazo