Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 7:19 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

19 kwa sababu hakimwingii moyoni, illa tumboni tu; kiisha chatoka kwenda chooni? Kwa kusema hivi alivitakasa vyakula vyote.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

19 kwa maana hakimwingii moyoni, ila tumboni, na baadaye hutolewa nje chooni?” (Kwa kusema hivyo, Yesu alihalalisha vyakula vyote.)

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

19 kwa maana hakimwingii moyoni, ila tumboni, na baadaye hutolewa nje chooni?” (Kwa kusema hivyo, Yesu alihalalisha vyakula vyote.)

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

19 kwa maana hakimwingii moyoni, ila tumboni, na baadaye hutolewa nje chooni?” (Kwa kusema hivyo, Yesu alihalalisha vyakula vyote.)

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

19 Mtu akila kitu hakiingii moyoni mwake bali tumboni, na baadaye hutolewa nje ya mwili wake.” (Kwa kusema hivi, Isa alivihalalisha vyakula vyote kuwa ni safi.)

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

19 Mtu akila kitu hakiingii moyoni mwake bali tumboni, na baadaye hutolewa nje ya mwili wake.” (Kwa kusema hivi, Isa alivihalalisha vyakula vyote kuwa ni “safi.”)

Tazama sura Nakili




Marko 7:19
9 Marejeleo ya Msalaba  

Hamjafahamu bado ya kuwa killa kiingiacho kinywani hupita tumboni, kikatupwa chooni?


Akawaambia, Hivi na ninyi hamna akili? Hamfahamu ya kuwa killa kitu kilicho nje ya mtu, kikimwingia, hakiwezi kumtia najis;


Lakini toeni sadaka vile vya ndani, na tazama, vitu vyote ni safi kwemi.


Sauti ikamjia marra ya pili, Kilichotakaswa na Mungu, usikiite najis.


Sauti ikanijibu marra ya pili kutoka mbinguni, Alivyovitakasa Mungu, usivinene wewe najis.


Vyakula ni kwa tumbo, na tumbo ni kwa vyakula; lakini Mungu ataharibu vyote viwili, tumbo na vyakula. Na mwili si kwa zina, hali ni kwa Bwana, nae Bwana ni kwa mwili.


Bassi, mtu asiwahukumu ninyi katika vyakula au viuvwaji au kwa sababu ya siku kuu au mwandamo wa mwezi, au sabato;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo