Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -

Marko 7:1 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

1 KIISHA Mafarisayo na baadhi ya waandishi waliotoka Yerusalemi wakakusanyika mbele yake,

Tazama sura Nakili

Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

1 Baadhi ya Mafarisayo na waalimu wa sheria waliokuwa wametoka Yerusalemu walikusanyika mbele ya Yesu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

1 Baadhi ya Mafarisayo na waalimu wa sheria waliokuwa wametoka Yerusalemu walikusanyika mbele ya Yesu.

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

1 Baadhi ya Mafarisayo na waalimu wa sheria waliokuwa wametoka Yerusalemu walikusanyika mbele ya Yesu.

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

1 Mafarisayo na baadhi ya walimu wa Torati waliokuwa wametoka Yerusalemu wakakusanyika mbele ya Isa.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

1 Mafarisayo na baadhi ya walimu wa Torati waliokuwa wametoka Yerusalemu wakakusanyika mbele ya Isa.

Tazama sura Nakili

Marko 7:1
5 Marejeleo ya Msalaba  

Waandishi walioshuka kutoka Yahudi wakanena, Ana Beelzebul, na kwa uwezo wa mkuu wa pepo awafukuza pepo.

wakaona baadhi ya wanafunzi wake wakila vyakula kwa mikono najis, yaani, yasiyonawiwa, wakawalaumu.

Hatta siku moja ya siku zile alikuwa akifundisha, na Mafarisayo na waandishi wameketi, waliokuwa wametoka katika killa kijiji cha Galilaya, na cha Yahudi, na Yerusalemi; uweza wa Bwana ulikuwa pamoja nae apate kuwaponya.

Tufuate:

Matangazo

Matangazo