Biblia Todo Logo
Biblia ya mtandaoni

- Matangazo -




Marko 6:9 - New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921

9 lakini wajifungie viatu; akasema, Msivae kanzu mbili.

Tazama sura Nakili


Matoleo zaidi

Biblia Habari Njema

9 Vaeni viatu lakini msichukue koti la ziada.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema - BHND

9 Vaeni viatu lakini msichukue koti la ziada.”

Tazama sura Nakili

Biblia Habari Njema: Toleo la Kujifunza

9 Vaeni viatu lakini msichukue koti la ziada.”

Tazama sura Nakili

Neno: Bibilia Takatifu

9 Vaeni viatu, lakini msivae nguo ya ziada.

Tazama sura Nakili

Neno: Maandiko Matakatifu

9 Vaeni viatu, lakini msivae nguo ya ziada.”

Tazama sura Nakili




Marko 6:9
6 Marejeleo ya Msalaba  

wala mkoba wa safari, wula kanzu mbili, wala viatu, wala fimbo: maana mtenda kazi astahili posho lake.


Mimi nawabatizeni katika maji mpate kutubu: bali yeye ajae nyuma yangu ni hodari kuliko mimi, wala sistahili hatta kuchukua viatu vyake; yeye atawabatizeni kwa Roho Mtakatifu na kwa moto.


Akawaambia, Mahali po pote mtakapoingia katika nyumba, kaeni humo hatta mtakapotoka mahali pale.


akawaagiza wasichukue kitu cha njiani isipokuwa gongo tu, wala mkate, wala mkoba, wala pesa za bindoni:


Malaika akamwambia, Jifunge, kavae viatu: akafanya hivyo. Akamwambia, Jivike nguo yako, ukanifuate.


na kufungiwa miguu bali ya kuwa fayari tupatayo kwa Injili ya amani;


Tufuate:

Matangazo


Matangazo